in

PUREWELL Water Purifier and Filter

Mwili wa binadamu unajengwa kwa kile anachokula na kunywa. Maji safi na salama ni muhimu kwa mwili wa binadamu. Kwa matumizi ya kila siku maji hutumika kupikia, kuoshea vyombo (usafi wa vyombo) usafi binafsi na wa kinywa. Maji safi na salama ni muhimu sana kwasababu hukuepusha na maradhi yasabishwayo na maji kama magonjwa ya mlipuko mfano kipindupindu, typhoid, dysentery, hepatitis A na kuhara ambazo husababisha vifo vingi sana .

Vitu vingi kama vile, wadudu na bakteria hushambulia maji, hivyo inakubidi kuwa na uhakika wa usalama wa maji yako. Nchi zinazoendelea zinajitahidi kupambana na magonjwa yatokanayo na maji ambayo sio salama, kwa kuweka mifumo mbalimbali na vyanzo salama vya maji.

Matatizo mengi yanayotufanya tuugue yanaweza kuzuilika. Baadhi ya njia za kuzuia magonjwa huhitaji muda, juhudi na fedha zaidi mwanzoni, lakini hunusuru muda na fedha baadae kwa kutuepeusha na magonjwa. Waweza zuia kuharisha na magonjwa mengine yanayosababishwa na vijidudu vilivyomo kwenye kinyesi cha binadamu na wanyama. Matatizo mengi yanayoathiri tumbo yanaweza kuepukwa kwa kunawa mikono, kuzingatia usafi katika kuandaa na kuhifadhi chakula, kutumia vyoo kwa usahihi, na kunywa maji safi na salama.

Watu wanauhitaji wa maji ambayo ni salama kwa ajili ya kunywa, yasiyo na vijidudu na kemikali hatari. Maji yaliyochafuliwa husababisha:Homa ya manjano(hepatitis A), homa ya matumbo (taifodi), na magonjwa mengine hatari. Ugonjwa wa kuhara, ambao husababisha kupungukiwa na maji mwilini na hatimaye vifo hasa kwa watoto. Maambukizi kama vile kichocho ambayo yanaweza kuchangia upungufu wa damu mwilini(anemia) na utapiamlo. Je umewai jiuliza njia salama ya kusafisha maji ni ipi? Maji yanapaswa kuchotwa kwenye chanzo chenye usalama zaidi katika eneo husika.

Purewell Water Purifier & Filter

Hiki ni kifaa cha kiteknolojia ya kiwango cha juu sana ambacho huchuja, husafisha na kurutubisha maji kwa kuzuia bakteria wabaya, vumbi, kutu, michanga n.k yatokanayo kwenye maji. Ni kifaa kilichotengenezwa kwa ufanisi mkubwa sana ina vitundu vidogo sana ambavyo haviruhusu bakteria yeyote kupita. Hufungwa moja kwa moja kwenye bomba la maji na husafisha maji kuwa safi na salama.Ni kifaa maalum inayochuja maji na kuyafanya yawe safi na salama kwa kunywa, kupikia na shughuli zingine za nyumbani, ofisini, viwandani n.k. Inaboresha Ladha ya Maji Kwa kupunguza kiasi cha chumvi iliyomo majini pamoja Na Kuondoa kabisa Madini Mengine yaharibuyo Ladha ya Maji Pia.Huondoa kutu, vumbi na wadudu wote bila kuchemsha maji, haitumii umeme, inatumia presha ya maji na inaboresha ladha na rangi ya maji na kuwa salama kabisa kwa matumizi.Huitaji kuchemsha tena maji wala kuchuja na kitambaa wala kuacha yatulie na unywe. Kifaa hiki ni suluhisho la matatizo yote.

Kwa mwenye uhitaji wasiliana nasi 0621996847

Kunywa maji safi na salama kwa afya yako

This post was created with our nice and easy submission form. Create your post!

Report

What do you think?

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *


The reCAPTCHA verification period has expired. Please reload the page.

Kheri ya Mwaka Mpya 2020

Faida za mitandao ya kijamii kwenye biashara.