Faida za mitandao ya kijamii kwenye biashara.

Matumizi ya mitandao ya kijamii inazidi kukua kwa kasi kubwa na ni zaidi ya watu bilioni mbili duniani hutumia mitandao ya kijamii. Je! Kuna faida gani kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili biashara? Bado haujashawishika juu ya nguvu ya mitandao ya kijamii? Sayari yetu imekuwa ndogo na inayofikika kirahisi zaidi, sio tu kwa kibinafsi, lakini … Continue reading Faida za mitandao ya kijamii kwenye biashara. More