Mito Mirefu Duniani (Top 5)

Kuamua mto mrefu zaidi ulimwenguni sio kazi rahisi. Ingawa kwa wengi wetu, jibu lingekuwa Mto wa Nile, kuna sehemu ya wasomi ambao wanachukulia Mto wa Amazon kama mshindi wa swala hili. Urefu wa mto au data ya urefu wa mto hauathiriwa sio tu na sababu za asili na na zisizo za asili zilizooainishwa katika aya … Endelea kusoma Mito Mirefu Duniani (Top 5) More