Mto Amazon (2/6)

List item
Approved

Mto wa Amazon huko bara la Marekani ya Kusini ndio mto mkubwa zaidi kwa kutokwa na maji mengi ulimwenguni, na kwa ufafanuzi fulani ni mrefu zaidi wakati wengine huona mto wa Nile kama mrefu zaidi. Ila kwa ufafanuzi wangu natambua kuwa mto nile ni mrefu zaidi. Mto Amazon unasifika kwa kuwa na maji mengi sana na kuwa wenye urefu wa kilomita 6,400 (3,976 mi) upo katika nchi ya Brazil, Colombia na Peru katika msitu wa Amazon

Written by Profeseli

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


The reCAPTCHA verification period has expired. Please reload the page.

Mto Nile (1/6)

Mto Yangtze (3/6)